MetaTrader 4 (MT4)
Huku ikiweza kupakuliwa moja kwa moja bila malipo kwenye tovuti yetu, Exness huwapa traders jukwaa la biashara la MetaTrader 4 kwa ajili ya trade ya jozi za sarafu na financial instruments zingine kupitia mkataba wa utofauti (CFD).
Kuhusu MetaTrader 4
Jukwaa linalojulikana la kutrade kati ya traders wa viwango vyote na uzoefu, MetaTrader 4 inaweza kuelezwa kuwa muhimu kwa brokers na traders sawa. Soma zaidi ili ugundue upekee wa jukwaa hili na jinsi linavyoboresha hali ya kutrade.
Matumizi ya MetaTrader 4
Vifaa vingi vya terminali, ikiwa ni pamoja na mifumo ya kutrade inayonyumbulika, trade ya algoriti na trade ya simu, hutoa fursa za uwekezaji kwa traders wa viwango vyote vya ujuzi kufanya trade katika masoko ya fedha. Sehemu hizi muhimu za MetaTrader 4 sio tu kukusaidia kuamua kwa ufanisi points za kuingia na kutoka na kutambua mwelekeo wa soko, lakini pia kuboresha uzoefu wako wa kutrade.
Kusaidia njia za execution ya trade, ikiwa ni pamoja na Market Execution na Instant Execution, jukwaa la kutrade la MetaTrader 4 pia hutoa chati, expert advisors, ishara za kutrade na indicators za kiufundi. Ishara huwawezesha traders kunakili orders za kutrade na mikakati ya biashara ya traders wengine. Pia kuna habari za fedha na vifaa vya arifa ili traders wajulishwe habari za hivi punde za kutrade na makala.
Uwezo wa Kubadilika kwa Kutrade
Fanya trade kwa urahisi kwenye MetaTrader 4 ukitumia Exness. Fanya trade ya CFD ya aina 6 za pending orders na aina 2 za execution: Instant Execution na Market Execution. Furahia uwezo wa kujenga na kutekeleza mikakati yako ya kutrade, bila kujali uchangamano, na ufanye trade ya financial instruments unazotaka.
Vifaa vya Uchanganuzi
Kwa kupitia indicators 30 za kiufundi zilizojengewa na vifaa 23 vya uchanganuzi, terminali ina safu ya zana za uchanganuzi, ikiwa ni pamoja na uchanganuzi wa kiufundi, ili uweze kukabili kwa ufanisi mabadiliko ya soko na mabadiliko ya bei, na kutambua points za kuingia na kutoka. Vifaa vingine pia ni pamoja na trailing stop na ishara za trade kwenye jukwaa la kompyuta ya mezani.
Kufanya Trade Kiotomatiki
Trade ya kiotomatiki kwenye masoko ya fedha inawezekana kwenye terminali za kompyuta ya mezani za MetaTrader 4. Kutokana na roboti za kufanya biashara, Expert Advisors (EA), unaweza kuweka kiotomatiki operesheni za kutrade na uchanganuzi kwenye masoko ya kifedha. Pia unaweza kuunda programu yako ya expert advisor na scripts kwa kutumia MetaQuotes Language 4 (MQL4) au kuagiza programu ya mpya Expert Advisor kwa urahisi.
Usalama
Usalama wa kifedha na data ni wa muhimu sana kwetu. Kwa hivyo, tunaipa kipaumbele cha kulinda data ya mteja wetu kwa kusimba kwa njia fiche mawasiliano yote kati ya seva na jukwaa la MT4 kwa kutumia vitufe vya 128-bit.
MT4 MultiTerminal
Furahia urahisi wa kudhibiti akaunti nyingi - hadi akaunti 128 za biashara za MetaTrader 4 na akaunti 10 za demo - kwenye jukwaa lililoundwa kwa ajili ya wasimamizi wa akaunti, inapatikana kwa Windows pekee.
Unachoweza kutrade kwenye MT4
Katika Exness, unaweza kufurahia kufanya trade ya CFD katika zaidi ya instruments 200, ambazo ni pamoja na kufanya trade ya jozi za sarafu za forex, metali, cryptocurrencies, stocks, indices na nishati.
Forex
Kuna zaidi ya majozi 100 ya sarafu yanayopatikana kwa trade ya CFD kwenye MT4 katika Exness. Tunatoa jozi za sarafu kuu, ikiwa ni pamoja na EURUSD, GBPUSD na USDJPY, na jozi za sarafu ndogo. Pia kuna orodha ndefu ya majozi nadra yanayopatikana kufanyia trade ya CFD.
Pata maelezo zaidiMetali
Kwenye MT4 ukitumia Exness, unaweza kufanya trade ya CFD kwenye metali kwa njia ya jozi za sarafu, ambazo ni pamoja na XAUUSD, XAUEUR, XAUGBP na XAUAUD kwa dhahabu na XAGUSD, XAGEUR, XAGGBP na XAGAUD kwa fedha. Unaweza pia kufanya biashara kwa platinamu (XPT) na paladiamu (XPD) kwa jozi za sarafu.
Pata maelezo zaidiNishati
Panua portfolio yako kwenye MT4 ukitumia Exness na ufanye trade ya CFDs kwenye nishati maarufu kama vile brent crude oil (UKOIL), mafuta ghafi (USOIL) na gesi asilia (XNGUSD) kwa masharti bora kuliko ya soko.
Pata maelezo zaidiHisa
Fikia chaguo mbalimbali za CFDs za stock unapofanya biashara kwenye MT4 ukitumia Exness. Trade stocks za CFD kutoka kwa tasnia mbalimbali, kama vile teknolojia (APPL, META), bidhaa na huduma zisizo za msingi (TSLA), bidhaa na huduma za msingi (KO) na zingine.
Pata maelezo zaidiFahirisi
Panua portfolio yako na ufanye trade ya CFD kwa indices kuu za stocks kutoka Marekani, Uingereza, Ujerumani, Japani na Uchina kwenye MT4 ukitumia Exness. Fikia indices maarufu za kimataifa kama vile Dow Jones, NASDAQ, FTSE 100, na NIKKEI 225.
Pata maelezo zaidiCryptocurrencies
Unaweza kutrade katika sarafu maarufu zaidi za crypto katika jozi za sarafu kwenye MetaTrader 4. Hizi ni pamoja na CFD kwenye Bitcoin, Ethereum na Litecoin, huku Bitcoin ikipatikana katika BTCUSD, BTCKRW, BTCJPY na zaidi.
Pata maelezo zaidiJe, kwa nini utumie Exness
Masharti bora kuliko ya soko, vipengele vya kipekee na usalama wa kiwango cha juu, pamoja na kujitolea kwetu kwa uwazi na huduma bora kwa mteja, ndizo sababu zinazofanya traders waendelee kuchagua Exness.
Kutoa pesa papo hapo
Endelea kudhibiti funds zako. Chagua tu njia ya malipo unayopendelea, tuma ombi la utoaji fedha na ufurahie idhini ya kiotomatiki ya moja kwa moja.¹
Execution ya kasi zaidi
Kaa mbele ya trends kwa execution ya kasi ya juu ya maombi ya biashara. Pata orders zako zitekelezwe katika milisekunde kwenye mifumo yote inayopatikana katika Exness.
Ulinzi Dhidi ya Stop Out
Furahia kipengele chetu cha kipekee cha Ulinzi dhidi ya Stop Out, chelewesha na wakati mwingine uepuke stopouts kabisa unapofanya trade katika Exness.
Pakua MetaTrader 4
Fanya trade bila kuchagua instrument moja badala ya nyingine ukitumia jukwaa maarufu zaidi.