Faida za Exness

Kuongoza katika kutoa spreads bora na thabiti zaidi kwenye mali kuu za Exness

Na Paul Reid

5535_Exness_Blog Banner_600x400_EN_Opt1@3x.png

Katika Exness, tumekuwa tukiamini kwamba uwazi na haki si maneno ya kawaida tu—ndio msingi ambao tumeunda uhusiano na wateja wetu wa biashara. Jambo lingine muhimu ambalo huchochea mabadiliko katika Exness ni jinsi tunavyodhibiti masharti yetu ya biashara, hasa spreads zetu za kipekee.

Tangu kuanzishwa kwetu mnamo 2008, lengo letu limekuwa rahisi kila wakati: kuwapa trader masharti bora zaidi na dhabiti ili waweze kustawi na kukua pamoja nasi. Sio biashara nzuri tu - ni jambo sahihi la kufanya.

Njia bora zaidi ya broker yeyote kusaidia traders wake ni kutoa spreads thabiti, za kutegemewa na za chini. Kwa hakika, uchunguzi wa traders wa Exness uliofanywa mnamo 2024 ulithibitisha kuwa vivutio viwili vikuu vya traders ni masharti ya biashara na spreads za chini na Exness inaongoza kwenye sekta katika sehemu hizo zote mbili.

Umuhimu wa spreads

Tofauti au gap kati ya bei ya Bid na Ask ni mojawapo ya vipengele muhimu zaidi katika biashara. Huwakilisha gharama ya msingi ya trader ya kuingia na kutoka kwenye masoko na kuathiri faida moja kwa moja. Katika miaka michache iliyopita, tumewapiku washindani wetu kwa kutoa baadhi ya spreads za chini na thabiti zaidi katika sekta hii kwenye mali zetu maarufu zaidi. Kwa mfano, Exness hutoa spreads za chini kwa dhahabu za hadi 20% kuliko wastani wa sekta, kuhakikisha kuwa traders wanahifadhi pesa nyingi kwa wanazopata. Lakini dhahabu sio mali pekee ambayo spread yake imepunguzwa kwa kiasi kikubwa. Uokoaji wa gharama kama huo huenea kwa instruments zingine muhimu kama vile mafuta, BTC, indices na hata forex.

Traders wapya hubaki na kukua katika Exness kwa muda mrefu, ilhali traders wenye uzoefu wanaojaribu masharti yetu ya biashara wanaweza kuona kwa haraka thamani tunayotoa na kufanya jukwaa letu la biashara kuwa njia yao ya msingi ya kufikia soko.

Kwa kuzingatia kwamba idadi ya wateja wetu na sifa zinaendelea kukua duniani kote pamoja na jumla ya kiwango chetu cha biashara, tunaamini kuwa tunafanya jambo linalofaa kwa traders wetu, jambo ambalo hutuchochea kutafuta njia mpya na bunifu za kupunguza gharama za biashara zaidi.

Aina za akaunti zilizobinafsishwa kwa kila trader

Spreads zetu zinazobadilika hubadilika katika muda halisi kulingana na masharti ya soko. Hii huhakikisha kuwa traders wananufaika kutokana na bei shindani, hata wakati wa volatility ya soko. Muundo wetu wa spread hutofautiana kulingana na aina ya akaunti. Kwa mfano, akaunti za Raw Spread na Zero hutoa spreads za chini sana na ada isiyobadilika kwa kila lot, muhimu kwa traders wa kiwango cha juu wanaotanguliza gharama za chini.

Vinginevyo, akaunti za Standard na Pro huwa na spreads ndogo bila ada, zinazotoa urahisi na ufikiaji kwa traders wote. Unyumbufu huu unamaanisha kuwa Exness inaweza kuwa chaguo linalofaa kwa traders wapya na wenye uzoefu.

Zaidi ya spreads: Masharti ya kipekee ya biashara

Ilhali spreads za chini ni msingi wa bidhaa na huduma zetu, Exness inatoa mafao mengi zaidi ili kuboresha uzoefu wa biashara. Uthabiti wa jukwaa letu huhakikisha kuwa traders wanaweza kutekeleza mikakati yao bila kukatizwa au muda wa kutotumika usiotarajiwa. Kwa mifumo fulani ya malipo, utoaji pesa wa papo hapo hutoa ufikiaji wa funds wa moja kwa moja, unaowawezesha traders kupata pesa zao bila kucheleweshwa kwa muda mrefu au ada zilizofichwa. Options nyumbufu za leverage huruhusu udhibiti wa hatari uliobinafsishwa na utekelezaji wa haraka hupunguza slippage na kuwasaidia traders kunufaika kutokana na fursa za soko kwa wakati halisi.

Manufaa haya yote yanaungwa mkono na usaidizi wa moja kwa moja wa 24/7, ambapo wasaidizi wataalamu wanapatikana kila saa ili kushughulikia maswali au wasiwasi wowote kuhusu spreads au masharti mengine ya biashara. Ikiunganishwa na kujitolea kwetu kwa usalama wa kifedha, Exness huunda mazingira ambapo traders wanaweza kuangazia malengo yao bila usumbufu mwingi na amani ya akili.

Kadri idadi ya wateja wetu inavyokua, tunaweza kuwekeza tena zaidi katika kuboresha masharti ya biashara, tukihakikisha bei na huduma bora zaidi bila kuhatarisha uthabiti wetu wa kifedha. Mfumo huu wa manufaa kwa pande zote umetuwezesha kujenga uaminifu na sifa kama mojawapo ya brokers wanaotegemewa zaidi katika sekta hii.

Hitimisho

Mafanikio yetu hayajengwi kwenye ahadi tupu; yanajengwa kwa msingi wa uaminifu. Traders hawajaribu tu Exness na kuondoka—wanabaki nasi na wanazungumza vyema kutuhusu, hasa spreads zetu. Kwa sababu katika Exness, ukuaji wako na uzoefu wa biashara si wazo la baadaye—ni kusudi letu. Pamoja, tunastawi.

"Spreads bora zaidi" inamaanisha spreads za chini na thabiti zaidi. "Spreads thabiti zaidi" inarejelea kiwango cha chini zaidi cha spreads za juu zaidi na "Spreads cha chini zaidi" inarejelea wastani mdogo zaidi wa spreads kwenye akaunti ya Pro ya Exness, kwa XAUUSD kulingana na data iliyokusanywa kuanzia tarehe 25 Agosti - 7 Septemba 2024, ikilinganishwa na spreads sambamba za akaunti zisizotozwa ada za brokers wengine.


Huu sio ushauri wa uwekezaji. Utendaji wa awali sio ubashiri wa matokeo yajayo. Mtaji wako uko hatarini, tafadhali fanya trade kwa kuwajibika.


Mwandishi:

Paul Reid

Paul Reid

Paul Reid ni mwandishi wa habari za kifedha aliyejitolea kufichua miunganisho ya kimsingi iliyofichwa ambayo inaweza kuwapa traders faida. Akilenga zaidi soko la hisa, hisia za Paul za kutambua mabadiliko makubwa ya kampuni zimethibitishwa vyema kutokana na kufuata masoko ya kifedha kwa zaidi ya muongo mmoja.